RC PAUL MAKONDA ATAJA LIST NYINGINE YA MAJINA MAPYA WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA..YUPO VANESSA MDEE SASA

KUTAZAMA MAAJABU YA LEO BONY3ZA HAPA CHINI===>

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amemtaja na msanii wa Bongo fleva Vanesa Mdee  kuwa ni miongoni
mwa wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa biashara haramu ya madawa ya kulevya baada ya jina lake kuongezwa kwenye orodha iliyotajwa jana .
Makonda ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wanahabari wakati akitoa taarifa kuhusu kuitikia wito kwa wasanii 9 na askari polisi aliowataja jana kuhusika na biashara hiyo. Aidha Makonda amemtaka Vee Money kuripoti katika Kituo hicho Jumatatu ijayo kwa ajili ya mahojiano zaidi. Taarifa hiyo ilitolewa na Makonda katika ofisi ya Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishana Sirro, iliyopo sentro.
Makonda ameeleza kuwa ni watu watano tu ambao ni wasanii na raia wa kawaida ndiyo wameripoti leo kati ya wale waliotajwa jana. Mbali na hivyo, Makonda ametoa agizo kwa polisi kuwa, wale ambao hawajaripoti, watafutwe na wakamatwe hadi kufikia Jumatatu.

TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>