kituko:WANABADILIKO AKATAKATA KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA KWA UCHUNGU WA LOWASSA KUSHINDWA UCHAGUZI...KAYASEMA HAYA...
KUTAZAMA MAAJABU YA LEO BONY3ZA HAPA CHINI===>
TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>
• Lowassa Ni Rais Wa MIOYONI Mwa WaTanzania Walio Wengi, Hili Pengine Linatokana Na Uthubutu Alionao Pamoja Na Watu Kukichoka Chama Tawala Kwa Matendo Yake...
••• Imedhihirika Baada Ya Kutangazwa Aliyeshinda Urais Wananchi WAMESINYAA, WAMEHUDHUNIKA, WAMEUGUA Mioyoni Mwao, Hakuna Shamrashamra Zozote Kuanzia Mitaani Na Hadi Humu Mitandaoni.
••• Hili Sio Kwasababu Wanamchukia Au Hawamuamini Aliyepewa Ridhaa Hiyo Lahasha, Hii Ni Kutokana Na Mfumo Mbovu Wa Chama Alichopitia Kuukwaa Urais.
••• Wapo Watu Wengi Wameamua Kuharibu Card Zao Za Kupigia Kura, Huku Wakiahidi Kutopiga Tena Kura Ktk Maisha Yao Yote.
••• Kuhubiri Demokrasia Ni Jambo Jingine Na Kuisimamia Demokrasia Ni Jambo Jingine, Hili Linatokana Na Ukweli Kuwa Demokrasia Imebakwa, Tumeona Dodoma, Na Sasa Tumeiona Zec, Mfumo Wa Vyama Vingi Umekuwa Ni Kiini Macho Tu Hapa Tz.
••• Aliyepewa Ridhaa Ya Kuliongoza Taifa Anajua Ccm Imepasuka, Sababu Ni Wapo Wanaojiona Wao Ndio Wenye Ccm Yao, Na Wao Ndio Pekee Wanaopaswa Kunufaika Na Ccm "Ubaguzi".
••• Anajua Pia Kwa Mfumo Huo Huo Wapo Walioingia Madarakani Na Hivi Sasa Watoto Wao, Familia Zao Ni Mabillionea Leo, Ingawa Anajua Njia Walizozitumia Kumiliki Miradi Waliyonayo Itakuwa Vigumu Kuwatia Hatiani, Ila Ukweli Ni Kwamba Serikali Ikidhamiria Inaweza Kwakua Njia Zipo Nyingi Na Ina Mkono Mrefu.
••• Miaka 5 Sii Mingi, Alivyoongelea Kuwawajibisha Mafisadi Inatakiwa Afanye Hivyo Kweli Na Kwa Uwazi Akianzia Na Waliomuweka Ktk Kiti Anachoenda Kukikalia Tar 5.
••• Swali Linakuja Hivi Je Atakapoanza Kufanya Hivyo Na Wao Wakamfata Na Kumzingira Je Atakuwa Na Mabavu Ya Kusimamia Alichotarajia Kukifanya??? Nakumbuka Mh: Sumaye Alisema "Unapotaka Kufanya Jambo Gafla Wanakuzingira".
••• ANGALIZO: Mteule Huyu Hapaswi Kusikiliza Ushauri Kutoka Kwa Wakaribu Zake Wataotaka Aanze Kuwashughulikia Watu Au Vyombo Vya Habari Ambavyo Vilionekena Kutoegemea Upande Wake Au Viliripoti Ukweli Ambao Kwa Wao Ulionekana Mchungu, Kwa Kufanya Hivyo Atakua Amenza Kupoteza Mwelekeo. Tumekuwa Na Mifano Ya Wakuu Waliopita Waliwaadhibu Watu/Vyombo Vya Habari Kwa Kuripoti Ukweli Ambao Ulikuwa Mchungu Kwao, Hadi Kufikia Hatua Ya Kuwapokonya Uraia Na Kuwataka Waomba Uraia Upya Ilihali Wakijua Watu Hao Walishalitumikia Taifa Ktk Ngazi Tofautitofauti Na Kwa Uadilifu Mkubwa.
~ Nawakilisha ~