JE UNAFAHAMU STAA WA DUNIA KISOKA CHRISTIANO RONALDO ALIFUNGA LINI GOLI LA KWANZA KWAKE NA TIMU GANI...SOMA HAPA...

KUTAZAMA MAAJABU YA LEO BONY3ZA HAPA CHINI===>

Kila mmoja anamfahamu vizuri Cristiano Ronaldo ambaye anakipiga katika klabu yaReal Madrid ya Hispania na timu ya taifa ya UrenoRonaldo ambaye alijiunga na klabu ya Manchester United mwaka 2003 na kutimkia Real Madrid mwaka 2009 anaikumbuka kwa furaha siku kama ya leo akiwa na Man United.
Cristiano Ronaldo anaikumbuka siku ya November 1 mwaka 2003 ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kufunga goli akiwa na Man UnitedRonaldo alifunga goli hilo kwa mpira wa faulo ambao ulitinga wavuni moja kwa moja na kuandika historia hiyo ambayo leo November 1 ni siku ya kumbukumbu yake.
Goli hilo la Cristiano Ronaldo alifunga katika mechi dhidi ya Portsmouth goli ambalo lilianza kumpa heshima kutokana na namba ya jezi namba saba aliyokuwa anavaa ilikuwa imeachwa na mchezaji mahiri kipindi hicho David Beckham ambapo alitimkia Real Madrid staa huyo.
1411119211430_wps_49_MANCHESTER_ENGLAND_APRIL_
Hii ni video ya goli la kwanza la Cristiano Ronaldo akiwa na Man United goli ambalo alilifunga November 1 2003.
TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>