STAA WA YANGA AMFUNIKA STAA WA MANCHESTER CITY KWA KUTEMBELEA GARI KALI KULIKO STAA HUYO WA MAMBELE...SOMA HAPA UJUE NI STAA GANI WA YANGA NA NI STAA YUPI WA MAN CITY...

KUTAZAMA MAAJABU YA LEO BONY3ZA HAPA CHINI===>

Ni ngumu kuamini kwa mchezaji staa na anayecheza katika klabu kubwa kama ya Manchester City kutembelea gari ya thamani ndogo kuliko hata baadhi ya wachezaji wa kitanzania ambao wengi wetu tunajua wanavipato vidogo. Mastaa wengi wa soka barani Ulaya hususani wa Ligi Kuu Uingereza hupenda kutembelea magari ya kifahari.
Manchester-City-v-Newcastle-United-Premier-League
Jesus Navas katika ubora wake uwanjani
Winga wa kimataifa wa Hispania anayekipiga katika klabu ya Manchester City yaUingereza  Jesus Navas November 1 ameingia katika headlines baada ya kunaswa katika picha akiwa na gari anayotembelea. Jesus Navas amenaswa akiwasili mazoezini akiwa na gari yake aina ya Nissan Micra ambayo thamani yake inatajwa kuwa pound 8000 ambayo ni chini ya milioni 30 za kitanzania.
nissan-micra-xv-premium-diesel
Nissan Micra
navas
Gari aliyoenda nayo mazoezini Jesus Navas inayotajwa kuwa na thamani ya chini ya milioni 30.
Stori kutoka mtandao wa mirror.co.uk umemuonesha Navas akiingia na gari hiyo katika uwanja wa mazoezi wa Manchester City ambapo alipaki gari yake hiyo pembeni yaBentley na Ferrari za wachezaji wenzake. Licha ya kuwa winga huyo anatajwa kuwa na aibu na hapendi kuonekana machoni mwa watu lakini wengi walishangazwa kumuona anatembelea gari ambayo thamani yake ya chini ukilinganisha na mshahara wake. Jesus Navas analipwa pound 90,000 kwa wiki ambayo ni zaidi ya milioni 200 za kitanzania.
104183235_1_1000x700_toyota-markx-2005-silver-colour-registered-in-2015-lahore
Gari aina ya Mark X anayotembelea Amissi Tambwe wa Yanga
TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>