Usharobaro wamtokea puani Stan Bakora

KUTAZAMA MAAJABU YA LEO BONY3ZA HAPA CHINI===>

STANLEY YUSUPH "STAN BAKORA"

Usharobaro umemtokea puani komediani wa Bongo, Stanley Yusuph ‘Stan Bakora’ baada ya kudondoka na kuumia mguu wa kulia wakati akifanya mazoezi ya kutumia Cyboard (Saibodi).
Ishu nzima ilitokea wiki iliyopita katika moja ya duka la nguo lililopo Kinondoni, Dar baada ya kupiga mwereka wa kufa mtu na kujikuta akianguka kama mkungu wa ndizi kutoka juu ya mgomba kisha kuumia mguu.

“Hicho kidude, kwangu ni kigeni ndiyo nilikuwa nakijaribisha nione inakuwaje ndipo nilipoanguka kama mara mbili hivi na kuumia mguu wa kulia, kiukweli kimenitoa ushamba,” alisema Stan Bakora.













TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPy BONY3ZA HAPA CHIN==>>>